
Simamia Biashara Yako, Rahisi na Smart.
SmartDaftari inakusaidia kusimamia mauzo, matumizi, bidhaa, madeni na faida — sehemu moja.


Rekodi kila mauzo kwa sekunde.
Fuatilia stoku na upate tahadhari ikipungua.
Jua pesa inakwenda wapi kila siku.
Madeni ya wateja na wasambazaji wazi.
Faida halisi baada ya gharama zote.
Data ya kila biashara imetengwa na salama.